Mkuu wa Idara: Donald Nssoko
Idara hii inalenga kuziwezesha Idara na Vitengo vingine kutimiza majukumu yake kwa kutoa utaalamu na huduma mbalimbali zinazohusiana na usimamizi wa rasilimali watu na utawala kwenye Halmashauri. Seks.Idara hii inaongozwa na Afisa Mkuu wa Utumishi na Raslimali Watu ambaye anawajibika kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri.
Idara shughulika na mambo yafuatayo:-
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa