• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Elimu Sekondari

 

Mkuu wa Idara:Mwalimu Richard A. Mwakihaba

Halmashauri ya wilaya ya Geita ina shule za Sekondari 30  zote ni za Serikali, ina jumla ya wanafunzi 18,540 (Me.10,495,Ke.8,045) na jumla ya walimu 803 (Sayansi:382,Sanaa:679)  kama inavyoonyesha kwenye majedwali;

Idadi ya wanafunzi

Na.
Wavulana
Wasichana
Jumla
1.
10.495
8045
18,540

Idadi ya waalimu

Walimu
Mahitaji
Waliopo
Upungufu
Sayansi
382
124
258
Sanaa
-
679
-
Jumla
382
803
258


Hali ya miundo mbinu

Majengo
Mahitaji
Iliyopo
Upungufu
%
Madarasa
534
370
164
31
Nyumba za walimu
803
129
675
84
Matundu ya vyoo
957
518
446
47
Maabara
90
10
80
89
Maktaba
30
0
30
100
Hostel
30
10
20
77


Majukumu ya Msingi ya Idara;

  • Kuwakilisha Wizara ya Elimu Sayansi, na Teknolojia katika ngazi zote katika Halmashauri kuhusu Elimu sekondari.
  • Kufafanua na kusimamia utekelezaji wa sera ya  Elimu na Mafunzo ya ufundi, sheria na kanuni zinazoongoza utoaji wa elimu ya sekondari.
  • Kumshauri Mkurugenzi  Mtendaji wa Halmashauri kuhusu masuala yote ya elimu ya sekondari.
  • Kusimamia upanuzi wa Elimu Sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia haki na maslahi ya walimu na watumishi wengine wa ngazi ya elimu ya sekondari katika Halmashauri.
  • Kuratibu na kusimamia mitihani ya kitaifa inayoendeshwa kwa shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia na kudhibiti Akaunti ya Elimu ya Sekondari na kuhakiisha kuwa fedha ya Elimu ya sekondari inatumika kama ilivyokusudiwa.
  • Kutayarisha na kusimamia utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya elimu sekondari kila mwaka.
  • Kufuatilia na kuthamini maendeleo ya Elimu ya sekondari katika Halmashauri;
  • Kuhimiza shule zote za sekondari kuinua ubora wa mazingira ya kujifunzia na kufundishia ikiwa ni pamoja na kujenga madarasa, Nyumba za walimu , na Vyoo.
  • Kuhimiza udhibiti na nidhamu ya walimu na wanafunzi wa shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kufuatilia utekelezaji wa Taarifa za ukaguzi shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kusimamia maendeleo ya taaluma na michezo ya shule za sekondari katika Halmashauri.
  • Kuratibu ,kukusanya na kuchambua takwimu za Elimu ya sekondari katika Halmashauri.
  • Kuhakikisha walimu wa shule za sekondari wanaopangwa katika Halmashauri kwa kuzingatia ikama inayokubalika.
  • Kufanyakazi nyingine zitakazoelekezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri.

 Mikakati ya kuboresha elimu ya sekondari 

  • Halmashauri imepanga kuhakikisha shule ya Bugando na Kamena miundombinu yao inaboreshwa ili kuhakikisha zinakuwa na madarasa ya kidato cha V na VI.
  • Masomo ya ziada yameendelea kufundishwa kwa madarasa ya kidato cha II na IV
  • Walimu wa Sayansi na Hisabati wanapata mafunzo ya mara kwa mara kupitia mradi wa kuboresha ufundishaji wa masomo ya Sayansi na Hisabati.
  • Kuwashirikisha wananchi katika uboreshaji wa miundombinu ya shule.
  • Kushirikiana na Halmashauri ya wilaya katika kusaidiana na wananchi kutoa elimu kwa wanafunzi kuhusu athari za mimba shuleni, UKIMWI na madawa ya kulevya.
  • Kubaini na kutoa taarifa Serikalini kuhusu upungufu wa walimu uliopo shuleni na kupanga walimu wanaoajiriwa kwa kuzingatia IKAMA.
  • Kuhakikisha wakuu wa shule wanatoa taarifa za utoro na kila wakati na ufuatiliaji unafanyika mara moja ikiwamo kuwachukulia hatua wazazi wenye wanafunzi watoro.
  • Kuwahimiza na kuwashawishi wazazi kuchangia uji na chakula cha mchana kwa wanafunzi.

 

Tangazo

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA INAKUTANGAZIA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA MTAKUJA KATIKA MAMLAKA YA MJI MDOGO WA KATORO June 15, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA KUWAITA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA June 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI GEITA DC July 08, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAWAKUMBUKA AKINA MAMA WALIOJIFUNGUA NA WAFUNGWA WANAWAKE

    March 07, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 87.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    January 24, 2023
  • GEITA DC YAWEKA KAMBI KATIKA KATA YA NYARUGUSU KUTOA MSAADA WA KISHERIA

    December 14, 2022
  • DC SHIMO ATAJA UMOJA NA MSHIKAMANO KUWA NGUZO KUU YA MAENDELEO TUNAPOSHEREHEKEA MIAKA 61 YA UHURU

    December 07, 2022
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa