Hapana.Baraza la madiwani halina uwezo wa kumfukuza mtumishi wa umma kazi bali lina uwezo wa kupendekeza mtumishi wa umma afukuzwe kazi endapo atakuwa amekiuka sheria kanuni taratibu na miiko ya kazi yake kwa mujibu wa sheria za nchi.
Baraza la madiwani halina uwezo wa kumuajiri mtumishi wa umma bali linapendekeza mtumishi kuajiriwa.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa