• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Kamati ya Kudhibiti UKIMWI

NA
JINA KAMILI
Kata
Jinsi
Wadhifa
1.
Mhe. Hadija Said
Nyamigota
Ke
Mwenyekiti
2.
Mhe. Elisha H. Lupuga
Bugulula
Ke
Mjumbe
3.
Mhe. Lolesia Bukwimba
Mbunge Busanda
Ke
Mjumbe
4.
Mhe. Joseph Kasheku.
Mbunge Geita
Me
Mjumbe
5.
Mhe. Elias Kisome
Busanda
Me
Mjumbe
6.
Mhe. Limbu Giliku
Diwani viti Maalum
Ke
Mjumbe
7.
Mhe. Roza Kwiligwa
Diwani viti Maalum Ke
Mjumbe
8.
Mhe. Peter Kulwa
Kamena
Me
Mjumbe


Majukumu ya kamati:

  • Kuhakikisha kamati za VVU na UKIMWI zinaundwa na kufanya kazi kwa kila ngazi kwa kufuata miongozo inayotolewa.
  • Kuhakikisha tathmini ya hali halisi ya VVU na UKIMWI  katika Halmashauri inafanyika na kuweka mikakati ya utekelezaji kila mwaka.
  • Kuhakikisha mipango yote ya UKIMWI na wadau wanaotekeleza katika Halmashauri husika vinaingizwa kwenye mpango Mkakati wa UKIMWI wa Halmashauri na Mkoa ili kuondoa urudufu wa juhudi na rasilimali.
  • Kuhimiza Halmashauri kutenga fedha  za mapato ya ndani na kushirikisha wadau katika kuchangia rasilimali hizo kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za kudhibiti UKIMWI.
  • Kuhakikisha uwepo wa orodha hai ya wadau wa masuala ya UKIMWI katika Halmashauri. 
  • Kutoa ushauri kwa ngazi inayohusika kuhusu sera au sheria ndogo juu ya udhibiti wa VVU na UKIMWI.
  • Kuhakikisha sera, Mkakati wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI, Sheria, Miongozo na matokeo ya tafiti mbalimbali ya masuala ya UKIMWI yanawafikia wadau na wananchi kwa ujumla
  • Kutambua na kutathmini shughuli za wadau mbalimbali wanaotekeleza afua za VVU na UKIMWI katika Halmashauri 
  • Kuratibu,Kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za VVU na UKIMWI zilizopangwa 
  • Kupitia taarifa za Uratibu zinazofanywa na Halmashauri na kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha na kuongeza ufanisi.
  • Kutoa taarifa za shughuli za VVU na UKIMWI kwenye baraza la madiwani kila baada ya miezi mitatu


                      

Tangazo

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA INAKUTANGAZIA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA MTAKUJA KATIKA MAMLAKA YA MJI MDOGO WA KATORO June 15, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA KUWAITA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA June 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI GEITA DC July 08, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAWAKUMBUKA AKINA MAMA WALIOJIFUNGUA NA WAFUNGWA WANAWAKE

    March 07, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 87.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    January 24, 2023
  • GEITA DC YAWEKA KAMBI KATIKA KATA YA NYARUGUSU KUTOA MSAADA WA KISHERIA

    December 14, 2022
  • DC SHIMO ATAJA UMOJA NA MSHIKAMANO KUWA NGUZO KUU YA MAENDELEO TUNAPOSHEREHEKEA MIAKA 61 YA UHURU

    December 07, 2022
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa