• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Kujiunga na Bima ya afya ya jamii

Namna ya kujiunga na CHF 
Unaweza kujiunga kama kaya,mtu binafsi au kikundi na kupatiwa kadi ya uanachama. Kila kaya(familia) itachangia kiasi kitakachokubaliwa kwa mwaka, mfano(5,000 au 10,000 au 15,000)

Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi, je ninaweza kujiandikisha na familia yangu katika Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) ? 
Ndiyo, kama una wategemezi wa ziada ambao hawajasajiliwa katika Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya.

Je wanafunzi wanaweza kujiunga? 
Ndiyo, unaweza kuhudumia watoto katika familia,hii ikiwa ni watoto walioko katika kaya iliyojiandikisha ambao umri wao ni chini ya miaka 18.

  •     Ndiyo, wanaweza. Watasajiliwa kama wanachama wa CHF, na watajiunga katika makundi kulingana na mwongozo.
  •     Waalimu wakuu wawasiliane na waganga wakuu wa vituo ili kupata mwongozo zaidi.


Je naweza kujiunga kupitia kikundi cha uzalishaji au ushirika? 
Ndiyo, unaweza ili mradi mkubaliane katika kikundi na uongozi wenu uwasiliane na Mganga Mkuu wa Wilaya au Mganga Mfawidhi wa kituo cha tiba kinachohudumia wanachama wa CHF kilicho karibu.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA December 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • DED GEITA DC KARIA MAGARO ATOA WITO KWA MADIWANI KUSIMAMIA MIRADI ILI KUPATA THAMANI YA FEDHA ILIYOTOLEWA

    February 04, 2026
  • TARURA KUTEKELEZA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILIONI 5.9 GEITA DC, FURSA ZA UCHUMI KUFUNGUKA.

    February 04, 2026
  • SHILINGI MILIONI 850 FEDHA ZA MAPATO YA NDANI KUNUFAISHA VIKUNDI VYA WANAWAKE VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU GEITA DC

    February 04, 2026
  • BARAZA LA MADIWANI LATOA PONGEZI KWA DED GEITA DC KARIA MAGARO UKUSANYAJI WA MAPATO NA USIMAMIZI WA MIRADI

    February 04, 2026
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa