Kutoa elimu ya uzalishaji bora wa mazao ya chakula na biashara.
Kuratibu na kusimamia upatikanaji wa pembejeo za kilimo kwa wakulima kwa wakati.
Kuendeleza kilimo cha umwagiliaji kwa kushirikisha wakulima kuibua miradi ya umwagiliaaji, kujenga miundombinu ya umwagiliaji(scheme) katika mabonde yote yanayofaa kwa kilimo.
Kutoa elimu ya matumizi bora ya zana za kilimo.
Kusimamia ujenzi wa miundombinu ya maghala makubwa ya kuhifadhia mazao na masoko ya kuuzia mazao mbalimbali yatokanayo na kilimo.
Kutoa elimu ya ujasiliamali katika vyama vya ushirika na vikundi mbalimbali.