UTEKELEZAJI WA MIRADI YAMAENDELEO ROBO YA TATU
Na
|
SEKTA
|
JINA LA MRADI
|
CHANZO CHA MRADI
|
KIASI CHA MAPATO
|
FEDHA TUMIKA
|
BAKI
|
HATUA YA UTEKELEZAJI
|
1.
|
ELIMU
|
UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA MTAKUJA
|
WANANCHI
|
NGUVU ZA WANANCHI MAWE, MCHANGO 640,000/=
|
618,000/=
|
22,000/=
|
MSINGI UNAENDELEA
|
2.
|
ELIMU
|
UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA KITONGOJI CHA MTONI
|
WANANCHI
|
NGUVU ZA WANANCHI MAWE, TOFARI TSH 702,000/=
|
684,000/=
|
18,000/=
|
BOMA LIMEFIKIA USAWA WA MADIRISHA
|
3.
|
ELIMU
|
UJENZI WA VYUMBA 4 VYA MADARASA NYIHUMBA
|
WANANCHI
|
NGUVU ZA WANANCHI MAWE, MCHANGA TSH 316,000
|
316,000/=
|
-
|
MSINGI UNAENDELEA KUJENGWA
|
4.
|
ELIMU
|
UJENZI WA VYUMBA 3 VYA MADARASA NA VYOO MATUNDU 4 MCHONGOMANI
|
WANANCHI
|
MAWE, MCAHNGA 906,000/=
|
883,000/=
|
23,000/=
|
MSINGI UMEKAMLIKA
|
5.
|
ELIMU
|
UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA NA OFSI 1 MTONI S/MSINGI
|
CAPITATION (UKARABATI)
|
1,550,000/=
|
-
|
-
|
MSINGI UMEKAMIKA
|
6.
|
AFYA
|
UJENZI WA WODI 2 KITUO CHA AFYA KATORO
|
WADAU
|
13,835,000/=
|
13,835,000/=
|
-
|
BOMA LIMEKAMILIKA
|
FEDHA YA MH. RAIS
|
20,000,000/=
|
18,710,000/=
|
1,290,000/=
|
||||
H/WILAYA
|
10,000,000/=
|
-
|
10,000,000/=
|
CHANGAMOTO
SEKTA YA AFYA
SEKTA YA ELIMU
SEKTA YA UTAWALA
SEKTA YA MIUNDOMBINU
MIPANGO ILIYOPO
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa