Mkuu wa Idara: Faraja Kaluwa
Utangulizi
Idara ya Ardhi na Maliasili ni Idara inayoundwa na vitengo vikuu viwili ambavyo ni kitengo cha Ardhi na Kitengo cha Maliasili. Kitengo cha Ardhi kinaundwa na vitengo 4 vya Uthamini, Upimaji, Mipango miji, Utawala na umilikishaji ardhi. Maliasili inavyo vitengo 3 vya misitu, Nyuki na Wanyamapori .
Kitengo cha Ardhi kinasimamia uendelezaji wa makazi mijini na upangaji wa matumizi endelevu ya ardhi vijijini. Miji midogo inayosimamiwa uendelezaji wake ni Mamlaka ya mji mdogo wa Katoro, Nkome, na Nyarugusu.
Kitengo cha maliasili husimamia hifadhi endelevu ya raslimali za misitu na wanyamapori. Halmashauri ya Wilaya ya Geita inamilki Msitu mmoja wa hifadhi wa Ruande wenye ukubwa wa hekta 15,550. Misitu ya kupandwa ina ukubwa wa hekta 1,585.8
Msitu wa Geita wenye ukubwa wa hekta 47,700 na Rwamgasa hekta15,550 inamilkiwa na serikali kuu.Misitu yote inazungukwa na vijiji.Halmashauri ya Wilaya ina vikundi 17 vya wafugaji Nyuki.
Majukumu ya Msingi ya Idara ya ardhi na Maliasili
Utekelezaji wa Majukumu ya Idara kwa kipindi cha 2015/16 mpaka 2016/17
Changamoto
Mikakati ya kukabiliana na changamoto
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa