Halmashauri ya wilaya ya Geita imejaliwa kuwa na mifugo(ng’ombe,mbuzi na kondoo) mingi pamoja na ardhi inayofaa kwa kilimo cha malisho ya mifugo.Halmashauri imetenga eneo la ukubwa wa ekari 300 kwa ajili ya uwekezaji wa kiwanda cha kusindika nyama/maziwa katika kata ya Nyamigota.
Aidha viwanda tanzu vinaweza kuanzishwa kutokana na malighafi itakayopatikana baada ya mifugo kuchinjwa kama vile ngozi,kwato pamoja na vyakula vya kuku.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa