• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

GEITA DC WAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUPITIA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI

Posted on: September 23rd, 2023

Na: Hendrick Msangi

Kuelekea Ufunguzi wa maonyesho ya 6 ya Kimataifa ya Teknolojia ya Madini ambayo yatafunguliwa na Mh Dkt . Dotto Biteko (Mb) , Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati katika viwanja vya EPZ- Bombambili , Geita mjini, Halmashauri ya Wilaya ya Geita chini ya Mkurugenzi wake Ndugu Karia Rajabu, imejipanga vema katika maonyesho hayo.


Katika banda lao, utaweza kuona vitu mbalimbali,ikiwepo uchenguaji wa dhahabu, pamoja na bidhaa mbalimbali  kama vile unga Safi wa Muhogo, dagaa, sabuni za maji, batiki na urembo , vyungu vya asili, pamoja na utunzaji wa mazingira ambapo unaweza jipatia michele bora .

Baadhi ya Maafisaa kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita wakiwa Kwenye banda la maonyesho tayari kuwahudumia wananchi


Maonyesho hayo yenye kauli mbiu '' Matumizi ya Teknolojia sahihi katika kuinua wachimbaji wadogo kiuchumi na kuhifadhi Mazingira " yanatarajiwa kuzinduliwa Leo Septemba 23 na Baadaye kufungwa na Mh Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania septemba 30.


Maonyesho hayo ni fursa kwa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kujitangaza kiuchumi na kuwavutia wadau mbalimbali kuja kutafuta fursa katika Wilaya ya Geita.

Tangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MADIWANI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WAASWA KUWA NA LUGHA MOJA KWA AJILI YA MAENDELEO-GEITA DC

    November 29, 2023
  • WAKUU WA IDARA NA VITENGO WAPATA MAFUNZO MFUMO WA TATHMINI YA MAHITAJI YA RASILIMALIWATU (HR ASSESSMENT SYSTEM)-GEITA DC

    November 21, 2023
  • MKURUGENZI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA AWA MBOGO, ATOA MAAGIZO MAZITO KWA KAMATI ZA UJENZI, WAZABUNI NA MAFUNDI-MIRADI YA SHULE

    November 19, 2023
  • Baraza la Madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Lamaliza kikao chake na kupitisha Taarifa ya Utendaji kazi kwa Robo ya Kwanza (Julai-Septemba 2023) ya Mwaka wa Fedha 2023/24

    November 16, 2023
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa