• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya Wilaya ya Geita yawa chachu ya mwitikio wa Chanjo ya Surua-Rubella na Polio

Posted on: October 18th, 2019

Watoto walio na umri chini ya miaka mitano wapo katika hatari zaidi ya kukumbwa na magonjwa ya degedege, kupatwa na mtindio wa ubongo,matatizo ya moyo na kupata matezi, endapo hawatapata chanjo ya sindano za Surua-Rubella na Polio.

Katika kuadhimisha lengo la kampeni ya kitaifa ya kuzuia na kupambana na magonjwa yanayozuilika kwa chanjo amabayo ni Surua,Rubella na Polio, Mganga Mkuuwa mkoa wa Geita  Dokta Japhet Simeo amesema kuna hatari ya kuongezeka vifo kwa watoto walio na umri chini ya miaka 4 kama Wazazi hawata chukua jitihada mapema za kuwapeleka watoto wao kupata chanjo hizo

Uthibitisho wa kitalaamu unaonyesha kwamba ni asilimia 85 tu ya watoto wanapata kinga kamilifu ya chanjo ya surua wakati wanapotomiza miezi 9  huku wototo wengine asilimia 15 hawapati kabisa huduma za chanjo.

Kwa Upande wa Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel ambaye ameongoza uzinduzi wa kampeni hiyo kwa Mkoa wa Geita iliyozinduliwa katika hospital ya Halmashauri ya  Wilaya Geita,Hospital ya Nzera amesema Lengo la Mkoa ni kupambana na magonjwa yanayozuilika na kuwachanja watoto wote waliolengwa

Mkoa wa Geita umelenga kuwachanja watoto 413,874  kwa chanjo ya Surua Rubella na watoto 171,325 kwa chanjo ya Polio ya sindano kwani Mkoa unakiwango cha kutosha cha Chanjo, na kwa upande wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita huduma hii ya chanjo itatolewa katika vituo vyote vya afya na vituo vitakavyoelekezwa na Halmashauri.

Chanjo hizi zitatolewa kwa siku tano (5) kuanzia tarehe 17 hadi 21 Oktoba,2019 katika vituo  397 ambavyo ni vituo vyote vya afya katika Halmashauri zote za Mkoa wa Geita.

Tangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YAPOKEA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA MAONESHO YA KIMATAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI 2023

    September 30, 2023
  • MIRADI YA MAENDELEO GEITA DC YAMRIDHISHA MNEC NADRA RASHIDI

    September 30, 2023
  • DED GEITA AFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA JENGO LA UTAWALA LA GEITA DC

    September 26, 2023
  • GEITA DC WAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUPITIA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI

    September 23, 2023
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa