• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO YAKAGUA MIRADI YA MAENDELEO GEITA DC

Posted on: January 20th, 2026

Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita leo Januari 19, 2026, imefanya ziara ya kutembelea na kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo katika kata tofauti za halmashauri hiyo. Ziara hiyo imeongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Mhe. Sylivester Kahesi, pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri Lilla Kibuga, wakuu wa idara na wataalamu kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Geita. Kata zilizotembelewa ni Nyamigota, Ludete, Magenge na Lwamgasa.

Wajumbe wa Kamati ya fedha, uongozi na Mipango wakitembelea mradi  ujenzi wa madarasa sita na matundu 12 ya vyoo vya shule ya msingi, pamoja na ujenzi wa madarasa mawili na matundu sita ya vyoo vya elimu ya awali katika Shule ya Msingi Iseni.

Katika kata ya Nyamigota, kamati ilikagua mradi wa ukamilishaji wa nyumba ya mtumishi aina ya 3-in-1 katika Kituo cha Afya Nyamigota, unaotekelezwa kwa kutumia fedha za mapato ya ndani. Viongozi wa kamati waliipongeza hatua iliyofikiwa katika ujenzi huo na kusisitiza umuhimu wa kukamilisha mradi kwa wakati. Diwani wa Kata ya Busanda, Mhe. Selemani Gamala, aliwahimiza mafundi na watendaji wa kata kuhakikisha kazi inamalizika kwa wakati na mafundi kulipwa stahiki zao bila kucheleweshwa. Naye Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri, Mhe. Sylivester Kahesi, aliwataka watendaji kuendelea kufanya kazi kwa bidii na kutoa taarifa mapema endapo kutajitokeza changamoto zozote katika utekelezaji wa mradi.

Nyumba ya mtumishi aina ya 3-in-1 katika Kituo cha Afya Nyamigota, Ikiwa katika hatua za Ukamilishaji.

Ziara iliendelea katika kata ya Ludete, ambapo kamati ilitembelea mradi wa ujenzi wa madarasa matatu pamoja na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Msingi Mji Mwema. Mradi huo umetekslezwa kupitia Mfuko wa Bakaa na tayari umekamilika na kuanza kutumika. Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri aliipongeza jamii ya eneo hilo kwa usimamizi mzuri wa mradi na kusema kuwa hatua hiyo inaonesha matumizi sahihi ya fedha za umma kwa manufaa ya wananchi.

Mradi  Ujenzi wa madarasa matatu pamoja na matundu sita ya vyoo katika Shule ya Msingi Mji Mwema

Katika kata ya Magenge, kamati ilikagua ujenzi wa ofisi ya kata unaotekelezwa kwa kutumia fedha za mapato ya ndani. Viongozi wa kamati walieleza kuridhishwa na maendeleo ya mradi huo na kusisitiza umuhimu wa kuumaliza kwa wakati bila kusuasua ili uweze kuanza kutoa huduma kwa wananchi.

Mardi wa ujenzi wa ofisi ya Kata unaotekelezwa kwa kutumia fedha za mapato ya ndani

Kadhalika, katika kata ya Lwamgasa, kamati ilitembelea ujenzi wa jengo la maabara pamoja na ujenzi wa jengo pacha la wodi ya wazazi na upasuaji, miradi inayotekelezwa kupitia ufadhili wa Benki ya Dunia. Kamati ilisisitiza umuhimu wa kuzingatia ratiba ya utekelezaji na kuhakikisha changamoto zote zinazojitokeza zinatatuliwa kwa haraka ili miradi hiyo ikamilike kwa wakati na kuwanufaisha wananchi.


Pia katika kata ya Lwamgasa, kamati ilitembelea ujenzi wa madarasa sita na matundu 12 ya vyoo vya shule ya msingi, pamoja na ujenzi wa madarasa mawili na matundu sita ya vyoo vya elimu ya awali katika Shule ya Msingi Iseni, miradi inayotekelezwa kupitia fedha za Bakaa. Akisoma taarifa ya mradi mbele ya kamati, Mkuu wa Shule ya Msingi Iseni, Paschal Sweke, alisema kuwa utekelezaji wa miradi hiyo utasaidia kupunguza msongamano wa wanafunzi madarasani, kupunguza michango ya maendeleo kwa wananchi na kusaidia kupunguza tatizo la utoro shuleni. Kamati iliipongeza jamii na uongozi wa shule kwa kazi nzuri na kuwataka walimu kuongeza bidii katika kufundisha ili matokeo ya kitaaluma yawiane na ubora wa miundombinu iliyopo.


Kwa ujumla, Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeeleza kuridhishwa na maendeleo ya miradi iliyotembelewa na kuhimiza watendaji na wadau wote kuendelea kusimamia kwa karibu utekelezaji wa miradi ya maendeleo ili ihitimishwe kwa wakati, kwa ubora unaotakiwa na kwa kuzingatia matumizi sahihi ya fedha za umma kwa manufaa ya wananchi wa Wilaya ya Geita.

Tangazo

  • TANGAZO LA KAZI ZA MKATABA December 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HATUA YA KIMKAKATI; MAAFISA HABARI GEITA WAPIGWA MSASA KUIMARISHA TASWIRA NA UWAZI WA TAASISI

    February 27, 2026
  • WATUMISHI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WAPEWA MAFUNZO YA UANZISHAJI WA MADAWATI YA STU.

    February 25, 2026
  • GEITA DC KINARA NAMBA MOJA MATUMIZI SAHIHI YA MIFUMO YA MAMLAKA YA SERIKALI MTANDAO (e-GA) KATI YA HALMASHAURI 184 NCHINI.

    February 20, 2026
  • DED GEITA DC KARIA MAGARO ATOA WITO KWA MADIWANI KUSIMAMIA MIRADI ILI KUPATA THAMANI YA FEDHA ILIYOTOLEWA

    February 04, 2026
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa

  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • toto slot
  • slot gacor
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • slot gacor
  • situs toto
  • axl777
  • slot gacor
  • slot gacor
  • axl777
  • koi200
  • situs toto
  • slot gacor
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • axl777
  • slot gacor
  • axl777
  • dora77
  • situs toto
  • situs toto
  • dora77
  • situs toto
  • situs toto
  • situs toto
  • yamitoto
  • nabitoto
  • situs toto
  • koi200
  • situs toto
  • axl777
  • situs toto
  • dora77
  • nabitoto
  • nabitoto
  • koi200
  • slot gacor
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • ufabet
  • koi200
  • axl777
  • situs toto
  • slot gacor
  • slot gacor
  • slot gacor
  • >
  • slot gacor
  • situs toto
  • kudetabet98
  • yamitoto
  • dora77
  • koi200
  • aero88
  • yamitoto
  • axl777
  • dora77
  • dora77
  • aero88
  • aero88
  • dora77
  • dora77
  • slot gacor
  • toto gacor
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • yamitoto
  • axl777
  • aero88
  • dora77
  • yamitoto
  • dora77
  • slot gacor
  • aero88
  • aero88
  • axl777
  • axl777
  • axl777
  • slot777
  • yamitoto
  • yamitoto
  • axl777
  • AXL777
  • yamitoto
  • DORA77