Msimamizi wa Uchaguzi Serikali za Mitaa ambaye pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita ndg Karia Rajabu Magaro leo September 15, 2024 amekula kiapo cha uaminifu,utii na uadilifu kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024
Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri Ndg Karia Magaro akila kiapo cha uaminifu,utii na uadilifu kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri Ndg Karia Magaro akisaini hati ya kiapo cha uaminifu,utii na uadilifu kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri ya Mji wa Geita Ndg Yefred Miyenzi akila kiapo cha uaminifu,utii na uadilifu kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri ya Mji wa Geita Ndg Yefred Miyenzi akisaini hati ya kiapo cha uaminifu,utii na uadilifu kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita Ndg Karia Magaro (Kushoto) akiwa na Msimamizi wa uchaguzi ngazi ya Halmashauri Mji wa Geita (Kulia) Ndg Yefred Miyenzi mara baada ya kula kiapo cha uaminifu,utii na uadilifu kuelekea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27,2024.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa