• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

RAIS SAMIA AWAPA TABASAMU WAFUGAJI WA SAMAKI KWA NJIA YA VIZIMBA JUMLA YA MILIONI 117.5 ZATOLEWA GEITA DC

Posted on: March 11th, 2025

Nkome-Geita

Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Geita Ndg Karia Rajab Magaro,  Aprili 11,2025 ametembelea mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba  katika kijiji cha Mnyala Kilichopo Kata ya Nkome Geita.

Mradi wa ufugaji wa samaki kwa njia ya vizimba ulianza Julai 2024 ukiwa ni mradi  wa kikundi cha wajasiliamali Mnyala mchangani ambao umewezeshwa na Serikali ya awamu ya Sita kupitia Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi kwa kushirikiana na Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB)

Akizungumza katika Ziara ya kuangalia Maendeleo ya Mradi huo wenye thamani ya Shilingi Milioni 117.5, Mkurugenzi Mtendaji Ndg Magaro amewataka wajasiliamali hao kuendelea kuusimamia mradi huo ili uzalishaji uendelee na kuweza kuendesha familia zao kwa kuwa mahitaji ya samaki ni makubwa.

Pamoja na hayo Ndg Magaro ameiagiza Idara Kilimo na Uvuvi Halmashauri ya Wilaya ya Geita kuwasaidia wajasiliamali hao namna bora ya kuandaa bwawa kwa ajili ya uzalishaji wa vifaranga vya samaki na kuongeza kuwa Halmashauri kupitia mapato yake ya ndani ambapo imetenga zaidi ya Bilioni 1.2 kwa ajili ya kukopesha vikundi itaendelea kuwawezesha wajasiliamali ili kujikwamua kiuchumi.

Kwa upande wake Mratibu kutoka Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) Bi Glacia Marugujo amekipongeza kikundi hicho kwa usimamizi mzuri wa mradi huo na kusema Benki hiyo itaendelea kutoa ushirikiano kwa kikundi hicho ikiwa ni Juhudi za Serikali ya awamu ya Sita kuwainua wananchi kiuchumi.

Naye Mwenyekiti wa Kikundi hicho Bw.Charles Oruwa ameiomba Halmashauri kuendelea kuwasaidia kupata masoko ya samaki na kuongeza vizimba kwani kwa sasa Kikundi hicho kina vizimba vinne.

" Tunashukuru ofisi ya Mkurugenzi kupitia Wataalam wake Maafisa  Uvuvi kwa namna wanavyotuma Ushirikiano wa karibu katika ufugaji wa samaki" Amesema Bw Oruwa Mwenyekiti wa Kikundi hicho.

Aidha Wanakikundi hao wameishukuru Serikali ya awamu ya Sita inayo ongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuwawezesha kiuchumi ambapo kwa sasa wanaweza kuendesha shughuli mbalimbali pasipo kutegemea Uvuvi wa kwenye ziwa ambao wakati mwingine upatikanaji wa samaki ni wa shida.

Tangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO KWA VIKUNDI January 23, 2025
  • TANGAZO LA KAZI GEITA DC September 10, 2024
  • TANGAZO LA MAJINA NA MIPAKA YA VIJIJI NA VITONGOJI HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA September 16, 2024
  • Geita Mamlaka za Wilaya na malmaka za miji GP DOM.pdf September 16, 2024
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANANCHI WAHIMIZWA KULINDA AMANI NA UTULIVU KUELEKEA UCHAGUZI MKUU-CPA AMOS MAKALLA

    May 20, 2025
  • RUSHWA NI JANGA LINALOATHIRI MAENDELEO YA KIUCHUMI, KIJAMII NA KISIASA NCHINI-RAS GOMBATI.

    May 13, 2025
  • GEITA YAPATA MAJIMBO MAPYA YA UCHAGUZI.

    May 12, 2025
  • ALAT MKOA WA GEITA WAMPONGEZA MKURUGENZI GEITA DC USIMAMIZI MZURI WA MIRADI

    May 10, 2025
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa