• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

WAFAHAMU WALENGA MAPYA,WAFUGAJI WA SAMAKI NDANI YA ZIWA VIKTORIA WALIYOWEZESHWA NA HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

Posted on: September 8th, 2021

Walenga mapya ni kikundi cha vijana sita ambao wameanzisha ufugaji wa samaki ndani ya Ziwa Viktoria katika eneo la  Chanika Senga ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita.

Wanapozungumzia Mradi huo wanasema kwamba, baada ya kufanya taratibu zote za kusajili Mradi wao,walianza ufugaji wa samaki kwa kuanzia na samaki 300 ambapo baadaye walizaliana na kufikia 1,500.

Leonard Ndalo ambaye ni kiongozi wa kikundi hicho cha Walenga Mapya, anaeleza kuwa katika kuwaendeleza kiuchumi,Halmashauri ya Wilaya ya Geita iliwapatia mkopo wenye thamani ya shilingi milioni 6 na nusu, ambao waliutumia kuagizia vifaranga vya samaki takribani elfu 20, sambamba na kuboresha miundombinu ya mazingira ya ufugaji wa samaki ikiwemo kujenga maeneo maalumu, (Cages) za kutenganishia vifaranga na samaki wakubwa,ambapo mkopo huo marejesho yake yanaanza mwezi wa 11 mwaka 2021

Aidha Bw.Ndalo amesema miongoni mwa changamoto kubwa wanazokabiliana nazo ni pamoja na muindombinu duni ya kufaragua,huku wakiomba uwezeshwaji zaidi ili kukuza mradi huo.

Ameongeza kuwa malengo yao ya baadae ni kuzalisha na kuuza samaki angalau kwa kuanzia na tani 2 endapo mradi huo utaendelea kuboreka zaidi.

Tangazo

  • No records found
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA YAPOKEA TUZO YA MSHINDI WA KWANZA MAONESHO YA KIMATAIFA YA TEKNOLOJIA YA MADINI 2023

    September 30, 2023
  • MIRADI YA MAENDELEO GEITA DC YAMRIDHISHA MNEC NADRA RASHIDI

    September 30, 2023
  • DED GEITA AFANYA ZIARA KATIKA MRADI WA JENGO LA UTAWALA LA GEITA DC

    September 26, 2023
  • GEITA DC WAKARIBISHA WAWEKEZAJI KUPITIA MAONESHO YA TEKNOLOJIA YA MADINI

    September 23, 2023
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa