Posted on: September 25th, 2024
Katibu Tawala Mkoa wa Geita Ndg Mohamed Gombati, Septemba 25, 2024 amewataka walimu kuendelea kuzingatia maadili na miiko ya kada ya ualimu ili kuendelea kuuletea Mkoa wa Geita sifa njema.
Gombati ...
Posted on: September 25th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Mhe. Hashim Komba, amewataka wananchi wa kata ya Nyamboge kushirikiana na serikali kupambana na maneno ya uzushi yanayosambaa katika maeneo mbalimbali. Akizungumza kwenye mkut...
Posted on: September 24th, 2024
Wananchi wa Kata ya Katoma jimbo la Geita wametakiwa kuilinda amani ya nchi ya Tanzania kwa wivu mkubwa huku wakitakiwa kutoa taarifa kwa vyombo vya usalama kwa wale wote wanaojihusisha na matukio ya ...