Posted on: December 25th, 2021
Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi kata ya Butobela imemshukuru na kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuiletea kata hiyo kiasi cha Shilingi milioni 160 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba nane vya ...
Posted on: December 19th, 2021
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo John Dugange Disemba 18, 2021 amepongeza Halmashauri ya Wilaya ya Geita kwa hatua waliyofikia katika ujenzi wa ...
Posted on: December 18th, 2021
Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mohamed Mchengerwa amewataka wananchi kushiriki katika vikao vya vijiji, kuchangia mawazo na kuibua miradi mbalimbali yenye manufaa...