Posted on: October 5th, 2021
Baraza la madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Geita limepitisha mapendekezo ya mpango na bajeti ya wajibu wa kampuni kwa jamii (CSR) kwa mwaka 2021 wenye jumla ya shilingi bilioni 4 na milioni 300.
...
Posted on: October 1st, 2021
Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Geita imeziomba taasisi za umma kuendeleza dawati la TEHAMA hata baada ya wiki ya TEHAMA kuisha kwa lengo la kuendelea kuielimisha jamii, kwa kuwa Ulimwengu wa sasa uk...
Posted on: September 30th, 2021
Jamii imeshauriwa kutopenda kuweka taarifa binafsi katika mitandao ya kijamii ili kuepuka kutapeliwa au kuwa watumwa wa baadhi ya watu wenye nia mbaya ambao wanaweza kutumia taarifa hizo kufanya mambo...