Posted on: September 8th, 2021
Walenga mapya ni kikundi cha vijana sita ambao wameanzisha ufugaji wa samaki ndani ya Ziwa Viktoria katika eneo la Chanika Senga ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita.
Wanapozungumzia Mradi...
Posted on: September 3rd, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Geita imeazimia kutumia mfumo wa GOTHOMIS katika vituo vyote vya Afya ifikapo Oktoba 30 mwaka huu,ili kurahisisha upatikanaji wa taarifa za wagonjwa.
Maazimio hayo yamepiti...
Posted on: August 31st, 2021
Kiasi cha shilingi milioni 27 kimetengwa na Halmashauri ya Wilaya ya Geita kwa mwaka wa fedha 2020/2021, kwa ajili ya ukarabati wa mwalo wa Nkome Mchangani,ikiwa ni hatua mojawapo ya kuboresha Sekta y...