Posted on: September 16th, 2021
Wananchi wa kata ya Bugalama katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita wameishukuru Serikali kwa kuwajengea kwa kiwango cha changarawe, barabara ya Lwenge,Nyamikoma hadi Bugalama yenye urefu wa Kilo...
Posted on: September 17th, 2021
Wananchi wa kata ya Lubanga katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita wametakiwa kuharakisha ujenzi wa choo na nyumba ya mganga ili Zahanati yao ianze kufanya kazi ifikapo mwezi Desemba mwaka huu.
Hayo...
Posted on: September 16th, 2021
Halmashauri ya Wilaya ya Geita inatarajia kunufaika na mradi wa keeping Adolescent Girls in School wenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 17,utakaofadhiliwa na kutekelezwa na shirika la Plan ...