Posted on: August 7th, 2024
WAZAZI nchini wameaswa kuzingatia lishe bora ili kuwezesha upatikanaji wa maziwa ya kutosha na yenye ubora pindi wanapowanyonyesha watoto wachanga ili kusudi waweze kuwa na afya bora.
Hayo yamesemw...
Posted on: August 5th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Geita Agosti 5, 2024 imeanza rasmi zoezi la Uboreshaji wa Daftari la kudumu la mpiga kura ambapo linatarajiwa kukamilika Agosti 11, 2024.
Kwa mujibu wa Kifungu cha 16 (5) c...
Posted on: August 6th, 2024
Baraza la madiwani Halmashauri ya Wilaya ya Geita Agosti 6, 2024 limefanya Mkutano wake wa kawaida katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Geita kwa lengo la kuwasilisha taarifa juu ya u...