Posted on: June 12th, 2019
Mradi wa maji ya bomba katika Halmashauri ya Wilaya Geita uliogharimu zaidi ya Bilioni 4.9 umekamilika na wakazi wapatao 23,724 kutoka vijiji 5 vya Chankorongo, Chigunga, Chikobe na Kabugozo wameanza ...
Posted on: June 10th, 2019
Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Geita, Nzera ulioanza tarehe 5 Februari 2019 unatarajiwa kukamilika tarehe 30 juni 2019, hali itakayoboresha huduma za afya na kuhudumia takribani...
Posted on: June 4th, 2019
Mashindano ya UMISSETA ngazi ya Wilaya Msimu wa 2018/2019 yamehitimishwa kwenye viwanja vya shule ya sekondari ya wasichana Nyankumbu, ambapo Geita DC imepata ushindi kwenye michezo ya mpira wa pete p...