Posted on: October 19th, 2020
Halmashauri ya wilaya Geita imetumia zaidi ya shilingi milioni 150 katika ujenzi wa mnada wa kisasa wa mifugo ulioko mji mdogo wa Katoro.
Hayo yamebainishwa na Afisa Utumishi wa halmashauri hiyo Do...
Posted on: August 18th, 2020
Huduma ya afya ya Mama na mtoto pamoja na wajawazito imetajwa kuimarika ndani ya kituo cha afya katoro baada ya kukamilika kwa majengo na vifaa vya kusaidia wakina mama wakati wa kujifungu...
Posted on: August 15th, 2020
Wananchi Mkoani Geita wamepongeza kasi ya Ujenzi wa mradi wa soko kubwa la kisasa linalojengwa Katoro ndani ya Halmashauri ya Wilaya Geita linalotazamiwa kumaliza Desemba 2020
Mhandisi wa mradi huo...