Kuongeza ukusanyaji wa mapato ya ndani ili kuweza kusaidia utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika ngazi ya jamii.
Kuvutia wawekezaji wa ndani na nje ya Halmashauri katika utoaji wa huduma na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa njia ya PPP.
Kuimarisha mahusiano kati ya Halmashauri na mashirika yasiyokuwa ya Serikali(NGOs na CBOs)katika utoaji wa huduma na utekelezaji wa miradi katika ngazi ya jamii.
Kushirikisha wadau mbalimbali wa maendeleo na jamii kwa ujumla katika upangaji,utekelezaji na usimamizi wa miradi ya maendeleo katika jamii.