• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

TASAF

                                                                             MRADI WA TASAF II

                                                               MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASKINI

                                                                            Mratibu Gabriel Evarist

1.UTANGULIZI:

Halmashauri ya wilaya Geita ni moja kati ya Halmashauri za Tanzania zilizochaguliwa kuingia kwenye mradi wa TASAF III kwenye wave ya tano. Halmashauri hii ni moja kati ya Halmashauri 6 zinazounda mkoa wa Geita.  Halmashauri imegawanyika katika tarafa 4 za Bugando, Kasamwa, Busanda na Butundwe. Kuna jumla ya kata 37, vijiji 145 na vitongoji 626.


Mradi wa TASAF III ulizinduliwa Tanzania Agosti 2012 Mkoa wa Dodoma na Rais wa awamu ya nne Dr Jakaya Mrisho Kikwete. Katika Halmashauri ya Wilaya ya Geita ulitambulishwa na kuzinduliwa rasmi Januari 2015. Kati ya vijiji 145 vya halmashauri yetu ni vijiji 94 ndio vinavyonufaika na Mapango wa Kunusuru kaya masikini wa TASAF III. Vijiji 51 vilivyosalia viliwasilishwa TASAF Makao makuu kwa lengo la kuviingiza kwenye Mpango.


2.MAFUNZO YALIOTOLEWA.

           2.1 KUBAINI WALENGWA

Mafunzo haya yalitolewa ngazi ya wilaya na vijiji vilivyomo kwenye mpango kwa lengo la kuwajengea uwezo wadau wote kuuelewa mradi wenyewe, walengwa wa mradi, sifa za walengwa, manufaa ya mpango kwa jamii na wilaya nzima.

Idadi ya wajumbe waliojengewa uwezo ngazi ya wilaya:-

Mkuu wa wilaya ya Geita 1,Madiwani 46, Timu ya Usimamizi Halmashauri ya Wilaya ya Geita 20,Waandishi wa Habari 6 na wawezeshaji TASAF 66.

Idadi ya wajumbe waliopewa mafunzo ngazi ya vijiji vilivyomo kwenye mpango.

Wenyeviti wa vijiji 94,Halmashauri za vijiji 282 na wakusanya takwimu 334


           2.2 KUHAKIKI WA KAYA MASIKINI:

Mafunzo ya kuhakiki kaya masikini yalitolewa kwa lengo la kwenda kukusanya takwimu halisi za kaya ambazo majina yake yalirudi kutoka TASAF Makao Makuu na kugawa vitambulisho vya muda kwa kila mlengwa. Pia kuingiza majina ya watoto wanastahili kusoma  shule na kupata huduma ya kliniki kwenye mpango na orodha maalum.

Mafunzo ya uhakiki wa kaya masikini wajumbe waliopewa mafunzo walikuwa kama ifuatavyo:-

Wawezeshaji TASAF 66,Walimu shule za msingi na sekondari 187,wahudumu wa afya 93, wakusanya takwimu 287,watendaji wa vijiji 94, wenyeviti wa vijiji 94 na Halmashauri za vijiji 282


           2.3 KUFANYA MALIPO.

Mafunzo ya kufanya malipo yalitolewa kwa wawezeshaji wa ngazi ya wilaya na wadau wote vijijini. Kamati za kusimamia mpango wa TASAF ngazi za vijiji zilipewa majukumu ya kila mjumbe kwenye kamati hiyo kwa kuwabainisha wahasibu, watunza kalenda, watakaohusika nafomu za utimizaji wa masharti na watakao shughulika na walengwa.

Pia watoa huduma za afya na walimu walipewa mafunzo ya ujazaji wa fomu za utimizaji wa masharti ya elimu na afya pindi zitakapo wafikia kwenye vituo vyao. Idadi ya wajumbe waliopewa mafunzo nikama ifuatavyo:-

Wawezeshaji TASAF 66,Kamati za mradi vijijini 1316,Walimu msingi na Sekondari 187, Wahudumu wa afya 94, watendaji wa vijiji 94 na Halmashauri za vijiji 282.


3.SHUGHULI ZILIZOFANYIKA.


           2:1 UTAMBUZI WA KAYA MASIKINI

Shughuli Utambuzi wa kaya  ilifanyika kwa siku zisizopungua nne kwa kila kijiji kilichopo kwenye mpango. Shughuli hii ilifanywa na wawezeshaji kutoka ngazi ya Wilaya kwa usimamizi wa Mtaalam Mshauri (TA) na wawezeshaji ngazi ya Taifa.

Wawezeshaji walikuwa na jukumu la kuutambulisha mradi wa TASAF III wa Mpango wa kunusuru kaya masikini kwenye mikutano ya ndani kwa viongozi wa vijiji, Halmashauri za viijiji  na mikutano ya hadhara kwa wanavijiji wenyewe kwa vijiji vyote 94. Lengo likiwa ni kuelezea dhima nzima ya mradi, lengo la mradi, walengwa wa mradi, vigezo vya kuwa mlengwa wa mradi na pia zoezi zima la kuwapata walengwa wa mradi ambazo zilikuwa ni kaya masikini sana na hasa zenye watoto.

zenye sifa zifuatazo:-.

Sifa za kaya masikini zilikuwa ni pamoja na:-

•Kaya zisizopata walau mlo mmja kwa siku.

•Kaya zisizokuwa na uweao wa kupata mavazi bora.

•Kaya zisokuwa na kipato chakutegemewa.

•Kaya zisizokuwa na uwezo wa kupeleka watoto shule.

•Kaya zisizoweza kumudu gharama za matibabu.


Zoezi hilo lilifanyika kwa wawezeshaji kwa kushirikiana na vijana waliochaguliwa kwa kila kijiji  kuzidodosa kaya hizo kwa kuzingatia vigezo vya umaskini vilivyowekwa katika madodoso maalum yaliyoandaliwa kutoka TASAF Makao Makuu na vigezo vingine vilitokana na mikutano ya hadhara ya wanajamii kijijini hapo. Katika zoezi hili jumla ya kaya 10,010 zilitambuliwa kama kaya maskini sana katika vijiji vyote  94, na jumla ya kaya 9,989 zilijaziwa madodoso katika  vijiji hivyo.


              2:2 KUHAKIKI WALENGWA

Baada ya kaya masikini sana  kubainishwa, majina yao yalipelekwa kwenye mfumo maalum TASAF Makao Makuu ambapo Mfumo huo unachuja kujua ni ipi kaya ambayo inastahili kuwa kwenye mpango na isiyostahili kwa kutumia madodoso ambayo yalijazwa kipindi cha kuzitambua kaya masikini. Majina ya kaya masikini yalirejeshwa na baadhi ya kaya zilibainika kuwa sio  masikini.

Takwimu za kaya masikini zilihakikiwa ikiwa ni pamoja na  kubainisha watoto wanaostahili kwenda shule na kupata huduma za afya. Pia jamii ilichagua wajumbe 14 kutoka katika kila kijiji ambao ndio wasimamizi wa mradi wa TASAF III katika ngazi za vijiji vyao.


              2:3 KUFANYA MALIPO.

Shughuli ya kufanya malipo imefanyika kwa awamu kumi na moja (11) za miezi miwili miwili kama mchanganuo  unavyoonyesha, fedha ilivyopokelewa kwa awamu zote kumi na moja kwa ngazi za halmashauri huku ikionesha kiasi kinachokwenda kwa walengwa, fedha ya usimamizi ngazi ya wilaya, kata na vijiji.


              2.4 FEDHA ZA WALENGWA KUBAKI VIJIJINI

Kwa awamu zote kumi na moja, fedha za walengwa zilibaki kwasababu mbalimbali ikiwemo ya walengwa kuhama vijiji vyao, kufariki, walengwa kutohudhuria siku za malipo .









Tangazo

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA INAKUTANGAZIA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA MTAKUJA KATIKA MAMLAKA YA MJI MDOGO WA KATORO June 15, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA KUWAITA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA June 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI GEITA DC July 08, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAWAKUMBUKA AKINA MAMA WALIOJIFUNGUA NA WAFUNGWA WANAWAKE

    March 07, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 87.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    January 24, 2023
  • GEITA DC YAWEKA KAMBI KATIKA KATA YA NYARUGUSU KUTOA MSAADA WA KISHERIA

    December 14, 2022
  • DC SHIMO ATAJA UMOJA NA MSHIKAMANO KUWA NGUZO KUU YA MAENDELEO TUNAPOSHEREHEKEA MIAKA 61 YA UHURU

    December 07, 2022
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa