Chigunga
|
Kijiji cha Nungwe
|
Mabaki ya Bandari ya kwanza ukanda wa Ziwa Victoria iliyojulikana (Nungwe bay) 1896
|
|
Bugalama
|
Kijiji cha Mkolani I.
|
Mti wa Mkora na Mnara wa wapigania Uhuru
|
|
Busanda
|
Kijiji cha Busanda, karibu na S/Sekondari Busanda.
|
Kaburi la Mtemi wa Buyombe Mtemi Magunga Chambalangu Kadama
|
|
Bukoli
|
Kijiji cha Ikina, karibu na S/Msingi Ikina.
|
Kaburi la Mtemi wa Bukoli, Mtemi Nganila Nonga.
|
|
Bujula
|
Kijiji cha Ngula
|
Kisima cha Asili kilitokana na kuzama kwa Tembo, kinatumika kwa Mitambiko, huruhusiwi kwenda na safuria ya masizi, kufua nguo wala kuvaa viatu.
|
|
|
|||
Mtakuja
|
Kijiji cha Nyamalembo na Nyakabale
|
Machimbo ya dhahabu ni Mgodi wa pili kwa ukubwa Afrika katika uzalishaji wa dhahabu. Ulianza mwaka 1936 kabla ya kufungwa na Rais Julius Kambarage Nyerere mnamo mwaka 1965.
|
|
Lwamgasa
|
Kijiji cha Mnekezi
|
Magofu ya Mgodi wa dhahabu wa Backreef.
|
|
Bukondo
|
Kijiji cha Kasang'hwa
|
Jiwe lililokuwa likitumika kuweka wasichana waliokuwa wakipata mimba kabla ya ndoa na Wazinza liko ndani ya Ziwa Victoria (Chabhobha).
|
|
Nkome
|
Kisiwa cha Rubondo
|
Ni Kisiwa pekee katika Ziwa Victoria ambacho ni Hifadhi ya Taifa ya Wanyama, Mazalia ya Samaki na Ndege.
|
|
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa