• Malalamiko |
    • Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe za watumishi |
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Halmashauri ya Wilaya ya Geita

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
    • Historia
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
        • TASAF
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi na Zimamoto
      • Maji
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Afya
      • Elimu Msingi
        • Utamaduni
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • UKIMWI
  • Fursa za uwekezaji
    • Vivutio vya kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Madini
    • Viwanda
    • Biashara
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Uvuvi
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe.Madiwani
    • Kamati za kudumu za Halmashauri
      • Fedha,Uongozi na Mipango
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Elimu,Afya na Maji
      • UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Wahe.Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti
  • Miradi
    • Miradi iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi itakayotekelezwa
  • Machapisho
    • Miongozo mbalimbali
    • Fomu mbalimbali
    • Ripoti mbalimbali
    • Sheria ndogo
    • Mpango mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa umma
    • Video za shughuli za ofisi/kitaifa
    • Hotuba za viongozi
    • Maktaba ya Picha

Ukaguzi wa Ndani

MAJUKUMU YA KITENGO CHA UKAGUZI WA NDANI NA UTEKELEZAJI WAKE

Mkuu wa Kitengo

Wankyo Marwa

  • UTANGULIZI

Kwa mujibu wa kifungu cha 48(1) cha sheria ya fedha za Serikali za Mitaa namb.9 ya mwaka 1982 kama ilivyorekebishwa mwaka 2000, na kama ilivyonukuliwa katika Amri ya 13(1) ya Kanuni za Fedha katika Mamlaka ya Serikali za Mitaa ya mwaka 2009 kinabainisha kuwa “Hesabu za kila Halmashauri ya Wilaya na za Mamlaka za Miji zitakaguliwa na Mkaguzi wa Ndani aliyeajiriwa na mamlaka husika” mwisho wa kunukuu. Ukaguzi wa Ndani unafanya kazi kwa kuzingatia Sheria, Kanuni na Miongozo ya fedha kama inavyotolewa na serikali  mara kwa mara. Ukaguzi wa Ndani pia unazingatia Viwango vya Kimataifa vya Ukaguzi wa Ndani(International Standards for the Professional Practice of Internal Auditing (Standards) vinavyotolewa na Taasisi ya Kimataifa ya ukaguzi wa ndani(The Insitute of Internal Auditors) ambavyo vimeridhiwa na Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi (NBAA) Tanzania.

2.0 Majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

Kwa mujibu wa AMRI ya 14(4) ya Memoranda ya fedha katika Serikali za Mitaa ya mwaka 2009 na makubaliano ya majukumu ya Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kati ya Uongozi wa Halmashauri na Mkaguzi wa Ndani (Charter for Internal Audit Services), majukumu ya Mkaguzi wa ndani ni pamoja na;

  • Kufanya tathmini na kuchangia katika uboreshaji wa:
  • Shughuli za kiutawala (Governance processes)
  • Uthibiti wa vihatarishi (Risk management Processes)
  • Mfumo wa uthibiti wa ndani (Control Processes)

    (ii)      Kufanya tathmini ya kazi mahsusi na mifumo kama ifuatavyo:

Kupitia na kutoa taarifa juu ya mapato na matumizi ya fedha za umma kama yanazingatia Sheria, Kanuni,Taratibu na Mikataba iliyopo. (Financial Audits)

Kuhakiki na kutoa taarifa juu ya shughuli za utekelezaji wa miradi ya maaendeleo na kubaini kama thamani ya fedha zilizotumika zimepatikana (Performance Audits or Value for Money Audit).

Kufanya ukaguzi wa Rasrimali watu (Human Resource Audits).

Ukaguzi wa manunuzi ya umma (Procurement Audits).

Kutoa ushauri wa namna ya kuongeza thamani katika masuala mbalimbali kwa makubaliano na mteja (Consulting Activities).

                                                                                                            

Tangazo

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI May 24, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA INAKUTANGAZIA UUZAJI WA VIWANJA ENEO LA MTAKUJA KATIKA MAMLAKA YA MJI MDOGO WA KATORO June 15, 2022
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA IMETOA TANGAZO LA KUWAITA KWENYE USAILI WATENDAJI WA VIJIJI NA MADEREVA June 27, 2022
  • TANGAZO LA KUITWA KAZINI GEITA DC July 08, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI YAWAKUMBUKA AKINA MAMA WALIOJIFUNGUA NA WAFUNGWA WANAWAKE

    March 07, 2023
  • BARAZA LA MADIWANI GEITA DC LAPITISHA BAJETI YA BILIONI 87.2 KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024

    January 24, 2023
  • GEITA DC YAWEKA KAMBI KATIKA KATA YA NYARUGUSU KUTOA MSAADA WA KISHERIA

    December 14, 2022
  • DC SHIMO ATAJA UMOJA NA MSHIKAMANO KUWA NGUZO KUU YA MAENDELEO TUNAPOSHEREHEKEA MIAKA 61 YA UHURU

    December 07, 2022
  • Tazama zote

video

DED. WANGA AWATAKIA MTIHANI MWEMA WANAFUNZI WA KIDATO CHA NNE HALMASHAURI YA WILAYA YA GEITA WANAOJIANDAA KUFANYA MITIHANI YA TAIFA
Video zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Asili ya jina Geita
  • Fursa ya viwanda
  • Fursa ya madini
  • UCHAGUZI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI, 2021
  • Vivutio vya Utalii
  • Miradi itakayotekelezwa
  • Miradi inayoendelea
  • Orodha ya wahe.Madiwani

Viunganishi Linganifu

  • Tovuti ya Ikulu
  • Bofya Hapa Kutuma,Kupokea na Kufuatilia Malalamiko,Mapendekezo,Maulizo na Pongezi Halmashauri ya Wilya ya Geita
  • Tovuti Kuu ya Serikali
  • Watumishi Portal
  • Ofisi ya Taifa ya Takwimu(NBS)
  • Ofisi ya Rais TAMISEMI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Counter Widgets

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Geita

    Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita

    Simu: +225 282520061

    Mobile:

    Barua pepe: info@geitadc.go.tz

Other Contacts

   

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Maswali na Majibu yanayoulizwa mara kwa mara
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma

Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa