MAJUKUMU YA SEKTA YA UTAMADUNI,SANAA NA MICHEZO
Afisa Utamaduni - Boaz Kisanji
Afisa Michezo- Goodluck G Shoo
1.Kusimamia sera ya maendeleo ya Utamaduni
2.Kugharimia uendeshaji wa shughuli mbalimbali za Utamaduni katika ngazi Wilaya.
3.Kuhamasisha wananchi kujivunia, kushiriki na kuhifadhi Utamaduni wao.
4.Kutumia fani mbalimbali za Utamaduni kama kichocheo cha maendeleo ya kijamii na kuichumi.
5.Kuziona na kuzitambua fani mbalimbali za Utamaduni kuwa vyanzo vya mapato na uwekezaji .
6.Kusimamia Sera na maendeleo ya michezo
7.Kuratibu shughuli za vyama vya michezo vya wilaya na kuvipa ushauri juu ya sera,mafunzo na msingi wa kupata fedha za kuendeleza michezo.
8.Kuandaa mpango wa michezo wa muda mfupi/ mrefu na kuweka taratibu wa utekelezaji na kuleta maendeleo katika michezo
9.Kujenga viwanja vya michezo na maeneo ya burudani
10.Kudhibiti na kuhakiki matumizi halali ya maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya michezo na burudani.
11.Kusimamia sera ya maendeleo ya vijana
Kumbuka Utamaduni ni kielelezo cha Taifa.
Halmashauri ya Wilaya ya Geita
Anuani ya Posta: S.L.P 139 Geita
Simu: +225 282520061
Mobile:
Barua pepe: info@geitadc.go.tz
Hakimiliki@ Halmashauri ya wilaya ya Geita , Haki zote zimehifadhiwa